Rappa Offset Aonyesha Mapenzi Mazito kwa Mtoto Wake.. Achora Tatoo ya Jina Lake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rappa Offset Aonyesha Mapenzi Mazito kwa Mtoto Wake.. Achora Tatoo ya Jina Lake
Rappa Offset aonyesha mapenzi mazito kwa mtoto wake wa kike Kulture aliyezaliwa miezi kadhaa iliyopita na kuamua kuchora jina la mtoto wake kwenye shavu la kushoto usoni kwake.

Cardi B pamoja na Offest walibahatika kumpata Kulture July 11,2018 lakini kwa upande wa Offset tayari ana watoto wengine wawili wa kiume na kufanya kwake hivyo inaonekana ni jambo la kawaida kutokana na kuzoeleka kuchora tattoo ya majina ya watu wake wa karibu  kwenye mwili wake.

Rappa huyo anadaiwa kuwachora tattoo watoto wake wa kiume pamoja na mke wake Cardi B ikiwemo na majina mengine ya watu wake wa karibu na anaowapenda.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad