Wachezaji Wawili Yanga Kuikosa Mechi Dhidi ya Singida

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wachezaji Wawili Yanga Kuikosa Mechi Dhidi  ya Singida
Kuelekea mechi dhidi ya Singida United Jumapili ya wiki hii, timu ya Yanga itawakosa wachezaji wawili ambao ni majeruhi.

Wachezaji hao ni Juma Mahadhi na Baruan Akilimali watakosekana kwenye mechi hiyo yenye msisimko wa aina yake haswa pale timu hizo zinapokutana.

Uongozi wa Yanga umesema kuwa wachezaji hao wanauguza majeraha yao na sasa wanaendelea na matibabu ili kujiweka fiti kwa ajili ya mechi zijazo.

Aidha Yanga itamkosa beki wake tegemeo na Nahodha, Kelvin Yondani kutokana na kuwa na kadi tatu za njano.

Yondani atakuwa anatumikia adhabu hiyo ambapo atakuwa anautazama mchezo dhidi ya walima alizeti wa Singida akiwa jukwaani.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad