Albamu ya Eminem yaweka rekodi, awapiku Drake na Travis Scott

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Albamu ya Eminem yaweka rekodi, awapiku Drake na Travis Scott
Msanii wa hip hop nchini Marekani, Eminem ameendelea kufanbya vizuri na albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la Kamikaze.

 Kwa sasa Albamu hiyo imekuwa albamu ya hip hop ambayo imeuza zaidi hadi sasa kwa mwaka 2018 kwa nchini Marekani ikiwa imeuza nakala 406,000.

Album hiyo iliyotoka August 31, 2018 imezipita album kama AstroWorld ya Travis Scott ambayo imeuza nakala 392,000 na Scorpion ya Drake  iliyouza 292,000.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad