Basi la Ibra Line Lateketea kwa Moto Lindi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Basi la Ibra Line Lateketea kwa Moto Lindi
BASI la Kampuni ya Ibra Line linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam kwenda Masasi mkoani Mtwara, limewaka na kuteketea kwa moto mchana leo Oktoba 19, 2018 mchana maeneo ya Nangurukulu Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi.

Kwa taarifa za awali kutoka eneo la ajali hiyo ya moto, bado chanzo chake hakijafahamika mara moja huku kukiwa hakuna madhara kwa abiria waliokuwa wakisafiri na basi hilo.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad