Gigy Money Awatolea Uvivu Wanaume Wasiowapenda Wake Zao Kisa Wamezaa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Gigy Money Awatolea Uvivu Wanaume Wasiowapenda Wake Zao Kisa Wamezaa
Msanii Gigy Money amewatolea uvivu wanaume wasiopenda wake zao kutoka nyumbani na kujishughulisha na kazi nyingine kisa wamezaa.

Gigy Money amesema kuwa mwanamke kuzaa isiwe sababu ya kufungiwa nyumbani muda wote na kuwataka wanaume kubadilika.

 "Mimi nisipoenda kazini tutakula nini, acha upumbavu, halafu nyie wanaume badilikieni mwanamke akitaka kutoa ndio umeanza mambo yako , mtu akizaa ndio anakuwa takataka tusizae, tuogope vizazi vetu," amesema Gigy Money.

Gigy Money ambaye alijipatia umaarufu mkubwa alipokuwa video vixen kwa sasa anafanya vizuri na wimbo Good Time Drip ambao ameshirikishwa na DJ wa Diamond Platnumz, Romy Jones na wasanii wengine kama Producer Abba, Country Boy, Sanja Boy na Queen Darleen.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad