Maimartha Athibitisha Wema Kutapeliwa na Future Husband

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanadada maimaratha wa jesse amabe pia ni rafiki wa wema sepetu  amethibitisha kuwa rafiki yake huyo alitapeliwa na mwanaume aliyemtangaza kuwa ndie future husband wake siku za hivi karibuni shilingi milion 40 na kwamba zile tetesi  za kuwa bwana huyo ni mganda ni uongo sio mganda nimtanzania kutoka Tabora.

Pia Maimartha amesema kuwaamekuwa na tabia ya kuwapiga picha wanawake anakuwa nao katika mahusiano na kuwatapeli pesa kama aliavyofanya kwa Wema.

ANATAFUTWA NA POLISI ……………………………………… Dah kumbe kweli lisemwalo kama halipo basi linakuja…huyu jamaa anaitwa Patrick hilo jina la Pck naskia ni la kutapeli watu

Naskia huju jamaa kweli amemtapeli wema kama million 40 hv alizipata kwa mauzo ya movie ….(inauma sana)
Naskia ndio tabia yake kutapeli wanawake….alibadilishaga na dini huko Dubai akamuoa mbibi mmoja hivi….huyo mbibi anafamilia yake kabisa….
Afu kumbe jamaa sio mnyarwanda wala nini kwao kumbe tabora….na unaambiwa anapenda kujisexisha na kuwapiga picha mbaya wanawake mwishowe anawatapeli….
Anaroho mbaya sana….ila kwa jeshi la Magufuli kaingia pabaya ….atakamatika tuuu….
Kumbe insta saa ingine mnasemaga ukweli…maana mlimshikilia bango jamaa huyu kuwa tapeli mpaka ikawa balaa….
Kweli wanawake inabidi muwe makini sana…
Pole tz sweetheart”
yaani ungejua dah….pole sana my bby
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad