Breaking News: Zitto Kabwe Aachiwa Ostabey Polisi Apelekwa Central

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Breaking News: Zitto Kabwe Aachiwa Ostabey Polisi Apelekwa Central
Baada ya kuhojiwa kwa saa tatu katika kutuo cha polisi Oysterbay jijini hapa, mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe amehamishiwa Kituo Kikuu cha Polisi kwa mahojiano zaidi

Akiongea na waandishi wa habari Wakili wa Mbunge huyo Jebra Kambole amesema kuwa baada ya mahojiano mteja wake ameelezwa kuhamishiwa kituo kikuu cha polisi kwa mahojiano Zaidi.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad