Maua Sama Afungukia Mafanikio Ya ‘Iokote

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Maua Sama Afungukia Mafanikio Ya ‘Iokote
Msanii wa Muziki wa Bongo fleva Maua Saleh maarufu kama Maua Sama amefunguka na kuongelea mafanikio ya wimbo wake wa ‘Iokote’ ambao unaendelea kufanya vyema.

Licha ya Maua kufanya nyimbo kadhaa nzuri huko nyuma lakini wimbo wake wa ‘Iokote’ ndio umekuwa kama umemtambulisha sana Kwenye ulimwengu wa Bongo fleva.

Katika mahojiano yake na Global Publishers , Maua aliyeimba wimbo huo kwa kushirikiana na ndugu wa marehemu Banza Stone, Hanstone alisema kuwa, katika maisha yake hajawahi kutegemea kama ataachia wimbo wa kumchanganya kiasi hicho ambapo tangu autoe umezidi kumpa shoo hadi anachanganyikiwa.

Yaani sijui hata nisemaje, Iokote imenifanyia maajabu makubwa sana hata nashindwa nielezeaje, kama huko nje ya nchi hadi sasa napata shoo hadi nachanganyikiwa nitajigawaje. Ukiingia mitaani, kwenye usafiri ndiyo nakuwa chizi kabisa”.

Licha ya mafanikio aliyopata Maua Sama Kupitia wimbo huo Lakini pia alipitia kipindi kigumu mara baada ya kuwekwa rumande kwa muda wa wiki nzima baada ya kukamatwa
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad