Jokate Adhamiria Kuweka Urembo Pembeni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jokate Adhamiria Kuweka Urembo Pembeni
Muigizaji wa Bongo movie na pia Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mheshimiwa Jokate Mwegelo amefunguka na kusema ameamua kuachana na mambo yote ya urembo na kuelekeza nguvu zake katika Wilaya yake ya Kisarawe.


Jokate ameweka wazi kuwa anataka kuweka pembeni mambo mengine yote na kuhakikisha anafanya kazi mwanzo mwisho hadi aone wilaya yake imebadilika na kuwa anavyotaka.



Kwenye mahojiano aliyofanya na Gazeti la  Amani, Jokate alisema kuwa mambo ya urembo na mengine yote aliyokuwa anayafanya, anayaweka pembeni kuhakikisha vitu muhimu vinavyotakiwa kuwepo Kisarawe vipo na vitakuwa vya kudumu hata kama yeye hatakuwepo.

Yaani mambo sijui ya kujiona mrembo huku kwangu mimi sina, sasa hivi yaani nataka kuona Kisarawe ambayo haina ziro, mimba za utotoni hakuna, unyanyasaji wa kijinsia umeondoka kabisa hata kama sitakuwepo madakarani“.

Jokate ameonekana kufanya vizuri sana kwenye nafasi aliyochaguliwa miezi michache iliyopita kwani Mpaka sasa ameshafanya mambo ya maendeleo katika Wilaya yake ya Kisarawe.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad