Michael Jackson Aongoza Katika Watu Waliofariki Lakini Bado Wanaingiza Mkwanja Mrefu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


#GetToKnow Kwa mwaka wa sita mfululizo Michael Jackson ameendelea kuikalia namba 1 ya orodha ya watu maarufu waliofariki ambao wanaingiza pesa nyingi zaidi (Highest Paid Dead Celebrities) kwa mwaka huu 2018 amefanikiwa kuingiza kiasi cha $400 million.

Marehemu Michael Jackson ambaye alifariki dunia mwaka 2009 ameingiza kiasi hicho cha zaidi ya Bilioni za 917 za Kitanzania tangu October 2017 hadi October 2018.

Kiasi kikubwa cha mkwanja wake kimetokana na mauzo ya asilimia 50 za haki za kazi zake toka kampuni ya EMI Music Publishing kwenda Sony/TV ambapo asilimia 10 ilienda kwa familia yake.

Mauzo mengine ya ziada toka kampuni yake ya Mijac Music Catalog. Pia haki za televisheni kwa kuruhusu kituo cha CBS kuonesha kipindi cha 'Michael Jackson Halloween' kwa mwaka wa pili mfululizo.

Marehemu XXXTentacion ameingia kwenye nafasi ya 11 akiingiza kiasi cha $11 million.

Icheki Orodha ya 10 Bora.

1. Michael Jackson - $400 million

2. Elvis Presley - $40 million

3. Arnold Palmer - $35 million

4. Charles Schulz - $34 million

5. Bob Marley - $23 million

6. Dr. Seuss - $16 million

7. Hugh Hefner - $15 million

8. Marilyn Monroe - $14 million

9. Prince - $13 million

10. John Lennon - $12 million
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad