Rais Magufuli amtwisha ujumbe mzito Mhe. Lowassa ‘waelekeze wenzako, vinginevyo wataishia magerezani’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais Magufuli amtwisha ujumbe mzito Mhe. Lowassa ‘waelekeze wenzako, vinginevyo wataishia magerezani’
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa anapendezwa na siasa za Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Edward Lowassa kwani anafanya siasa ambazo hazivunji sheria.

Rais Magufuli amesema hayo leo Novemba 27, 2018 kwenye ufunguzi wa maktaba ya kisasa katika Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM).

“Maendeleo hayana chama, ndio maana leo Mzee Lowassa yupo hapa, nikushukuru kwa utulivu wako nilipokutupa chini baada ya uchaguzi ulikaa kimya, maana tuligombea mimi na wewe lakini wengine wanapiga kelele tu, kwakweli nikupongeze kwa uzalendo..Naomba mzee Lowassa ukatusaidie kuwaelekeza na wenzako unaowaongoza huko namna ya uzalendo vinginevyo wataishia magerezani ili wakajifunze namna ya kuziheshimu sheria za Watanzania,”amesema Rais Magufuli.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad