Rayvanny Awavimbia BASATA, Apingana na Amri ya Kufuta Wimbo wake wa ‘Mwanza’ Mitandaoni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Licha ya Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) kumtaka Rayvanny aufute wimbo wake mpya wa Mwanza kwenye mitandao ya kijamii kabla ya saa 10:00 jioni ya leo,  Msanii huyo mpaka sasa hajaufuta wimbo huo mtandaoni.

Video ya wimbo huo mpaka sasa umetazamwa mara milioni 1+ (views milioni 1+) na kwa Tanzania upo namba moja kwenye Trending katika Mtandao wa YouTube.

Mapema leo BASATA walitoa tamko la kuufungia wimbo huo kutotumika kwa namna yoyote ile kwa kile walichoeleza kuwa maudhui ya wimbo huo yanakiuka maadili ya mtanzania.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad