Afande Sele "Kumi Bora ya wasanii Tanzania wanatoka WCB"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkongwe wa Bongo fleva afande Sele amesema Diamond platnumz hapaswi kabisa kuwahofia Clouds kwasababu anajeshi kubwa linalojitosheleza.
Afande Sele" kiukweli kwasasa ukisema uchukue wasanii Bora kumi was Tanzania wote wanatoka WCB wanahit song za kutosha wanafanya vizuri Sana, Diamond platnumz hapaswi kuwaogopa Wala kuwalamba miguu clouds kwasababu anajitosheleza".
Afande anasema kuondoa Monopoly kwenye music ni Jambo muhimu Sana kwa wasanii na anaunga mkono ujuo wa matamasha mapya
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad