Shamsa Ford Achezea Kichapo Kutoka kwa Mumemwe Amwaga Povu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Shamsa Ford Achezea Kichapo Kutoka kwa Mumemwe Amwaga Povu
Muigizaji wa filamu za Bongo movie nchini Shamsa Ford ameibuka na kuwatolea Povu zito wanaume ambao wamekuwa na tabia za kunyanyasa Wake zao kwa kuwapiga.

Shamsa ametoa maneno makali ya kukemea wanaume ambao wanawafanyia vituko Wake zao Kama kuwapiga na kuwadhalilisha lakini pembeni wana michepuko wanayoithamini.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, ameandika maneno haya:

''Wanawake ambao tuna mapenzi ya dhati ndio huwa tunaonewa sana. Wanawake ambao huwa tunaishi maisha ya uhalisia kutokana na mifuko ya waume zetu ndio tunaonewa na kuonekana kama washamba, lakini wale wanawake wachunaji ndio huwa wanapewa kipaumbele na kuthaminiwa sielewi wanaume huwa wanataka nini kutoka kwa wanawake.

Tunapigwa, tunasemwa vibaya, tunaonewa, tunabeba mzigo mkubwa lakini mwisho wa siku bado unafuta machozi na kusema Alhamdulilah. Nyie wanaume huwa mnataka nini?”.

Shamsa hataweza wazi Kama ujumbe huo umeilenga ndoa yake pia na mfanyabiashara Chid Mapenzi ya la ila ameambatanisha na picha akiwa amejeruhiwa jicho.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad