Taifa Stars Yawasili Afrika Kusini kwaajili ya Maandalizi na Mechi ya Lusotho

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Taifa Stars Yawasili Afrika Kusini kwaajili ya Maandalizi na Mechi ya Lusotho
Kikosi cha Stars kimewasili salama huko Afrika Kusini kwa kambi maalum kujiandaa na mechi dhidi ya Lesotho kuwania kufuzu AFCON 2019. Wachezaji waliosafiri na timu ni makipa Aishi Manula (Simba SC), Aaron Kalambo (Tz Prisons) Beno Kakolanya (Yanga SC) na Benedictor Tinocco (Mtibwa Sugar).



Mabeki ni Shomary Kapombe (Simba), Salum Kimenya (Tz Prisons) Erasto Nyoni (Simba) Ally ‘Sonso’ Abdulkarim (Lipuli) Kelvin Yondani (Yanga), Gardiel Michael (Yanga), Aggrey Morris (Azam) na Abdallah Kheri (Azam).



-Viungo ni Salum Abubakar ‘Sure Boy’ (Azam) Mudathir Yahya (Azam) Feisal Salum Fei Toto (Yanga), Jonas Mkude (Simba), Shiza Kichuya (Simba). Washambuliaji ni Thomas Ulimwengu (Huru), John Bocco (Simba) na Yahya Zayd (Azam).



Aidha wachezaji wanaokipiga nje ya Tanzania wataungana na wenzao mbele ya safari tayari kwa mechi hiyo itakayopigwa Novemba 18.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad