Tanzia: Aliekuwa Mke wa Kwanza wa Reginald Mengi, Mercy Amefariki Dunia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tanzia: Aliekuwa Mke wa Kwanza wa Reginald Mengi, Mercy Amefariki Dunia
Taarifa kutoka nchini Afrika ya Kusini ambapo tunaambiwa Mtalaka wa Reginald Mengi ambaye ndiye aliyekuwa Mke wake wa kwanza, Mercy Mengi amefariki dunia usiku wa kumkia November 1,2018 katika hospitali ya Mediclinic Morningside iliyopo Afrika Kusini akiwa anapatiwa matibabu.

Inaelezwa kuwa Marehemu Mercy Mengi alikuwa nchini Afrika Kusini kwa zaidi ya wiki mbili akipatiwa matibabu, lakini mpaka sasa bado haijawekwa wazi ugonjwa uliosababisha kifo chake.

Familia iko katika hatua za kusafirisha Mwili.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad