8 Nov 2018

Wema Adaiwa Kukimbia Nyumba, Majirani Wafurahi Kupunguziwa Kero

Mambo Yazidi Kuwa Magumu kwa Wema Adaiwa Kukimbia Nyumba, Majirani Wafurahi Kupunguziwa Kero
Akiwa bado anakumbwa na majanga kibao, mwanadada wema sepetu ameripoti wakukimbia nyumba anyokaa kwa madai kuwa ameshindwa kueledelea kulipo kodi katika nyumba hiyo aliyokuwa akikaamaeneo ya salasala.

Gpl, lilipokua likiongea na watu wa karibu , majirani zake wanasema kuwa ni afadhali mwanadada huyo kuwa ameondoka katika mtaa huo kwa sababu amewapunguzia shida walizokuwa wakizipata kila mara.

Baada ya kutaka kuthibtisha habari hizo, GPL waliamua kwenda alipouwa akikaa wema na  hawakufanikiwa kukutana na Wema bali majiran zake ambapo moja ya majirani hao alisema kuwa ni kweli Wema alihama nyumba hiyo usiku wa jana yake mida ya saa mbili alipokuja na gari na kubeba kila kitu chake cha ndani.


Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD
Weka Maoni yako Hapa

0 facebook:

Post a Comment

Nafasi za Kazi

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger