Aliyemtoa Arsene Wenger nchini Japan na kumpa mkataba wa kuinoa Arsenal afariki dunia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Aliyemtoa Arsene Wenger nchini Japan na kumpa mkataba wa kuinoa Arsenal afariki dunia
Aliyekuwa mwenyekiti wa klabu ya Arsenal kwazaidi ya miaka 30, Peter Hill-Wood amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 82.


Hill-Wood aliingia kwenye bodi ya Arsenal mwaka 1962 na kupata nafasi ya mwenyekiti  mwaka 1982 nafasi aliyoitumikia mpaka 2013 na kuachana nayo kufuatia kuanza kusumbuliwa ugonjwa wa shinikizo la moyo.years, 31 of those as chairman of the club

Maamuzi yake ya kwanza baada ya kupata nafasi ya mwenyekiti alimuajiri  Arsene Wenger kuwa meneja wa timu hiyo mwaka 1996 akimchukua kutoka Japan, chaguo ambalo lilipingwa na watu wengi kwa wakati huo kabla ya Mfaransa huyo kuwaonyesha uwezo wake na kupata mafanikio makubwa.
season - the Invincibles campaign of 2003/04
Wakitoa taarifa ya kifo chake klabu hiyo imesema ‘’ Kwa majonzi makubwa wanatoa taarifa ya kifo cha aliyekuwa mwenyekiti wa timu hii Peter Hill-Wood,’’ imesema Arsenal.

Taarifa hiyo imeendelea ‘’Tukiwa tunasherehekea miaka 100 ya mafanikio msimu huu, familia ya Hill-Wood inapenda kuelezea tulipotoka, umoja na mabadiliko ya sasa kwenye soka la Uingereza,’’
Wenger as Arsenal manager, has died aged 82Â
Mbali ya kumleta George Graham kama kocha ndani ya Arsenal lakini pia Hill-Wood aliiongoza klabu hiyo kwa mafanikio makubwa ambapo wakati wake aliweza kutwaa makombe mawili ya ligi, FA Cup, League Cup na European Cup lakini pia mabadiliko ya kuachana na matumizi ya uwanja wa Highbury hadi kuamia Emirates mwaka 2006.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad