Chemical Ana Kitu Ninachohitaji, Sitoacha Kumfukuzia" – Stereo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rapper Stereo ambaye anafanya poa kwenye mistari ya Hip Hop bongo, amefunguka juu ya hisia zake kwa Chemical, na kusema kwamba alikuwa 'serious' pindi alipomfuata kumueleza.


Akizungumza na www.eatv.tv, Stereo amesema ni kweli anampenda Chemical, na alipomfuata alikuwa anamaanisha, isipokuwa hakuweza kumbembeleza sana kutokana na kumuona hajiamini juu ya kile akitakacho.

Hata hivyo Stereo amekanusha taarifa za kuoa, na kusema kwamba bado anamuhitaji Chemical na hatoacha mpaka atakapompata na kuwa naye kwenye mahusiano.

“Mimi sijaoa, yeye hakuwa anajiamini, alikuwa anaona labda hawezi kuwa na mtu kama mimi, ila mimi ndio najua ana nini, ana kile ninachohitaji, na sitoacha mpaka nikipate, yaani ana deni langu, 'I wont stop' mpaka nimpate”, amesema Stereo.

Stereo ameendelea kusema kwamba tuhuma za Chemical kudai kwamba alikuwa anamtokea ili athibitishe kama kweli alikuwa bikira ama la, hazina ukweli wowote kwani yeye mtu kuwa bikira sio kitu kikubwa.

“Pengine ni mazoea ya watu wengi kuwa bikra ni issue, bikra sio issue, lakini hiyo sio sababu ya mimi kutaka kudeal na yeye, ana kitu ambacho nakihitaji”, amesema Stereo.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad