Faida za Kutumia Mtandao Kwenye Biashara

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Katika biashara mtandao unaweza kuwa mojawapo ya njia ya kujitangaza, kuongeza wateja na kuongeza mauzo.

Kati ya sababu muhimu za kutumia mtandao katika biashara ni kwamba kuna gharama nafuu katika kufanya matangazo.

Intaneti imeleta urahisi wa kuwafikia watu wengi kwa gharama nafuu na inakupa uwezo wa kupata taarifa za wateja wako.

Wateja wako wengi wako mtandaoni. Hii ni kutokana na takwimu za TCRA ambapo zaidi ya watanzania milioni 25 ni watumiaji wa intaneti. Hii ina maana kuna kundi kubwa la watu ambao unaweza kuwafikia kupitia mtandao na wakaijua biashara yako.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad