Hii ndio biashara waliokubaliana Ben Pol na Harmonize

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Muimbaji Ben Pol amejibu ni kwanini wimbo wake uitwao 'Why' upo kwenye channel ya YouTube ya Harmonize. 

Muimbaji huyo  amesema hilo limefanyika kutokana na sababu za kibiashara.  

"Unajua ule wimbo tuliufanya kimizuka, tukapiga vesi lakini baadaye likaja suala la biashara, katika kujadiliana ndio tukafika pale kwamba aliyewekeza sana ndio anufaike sana," amesema Ben Pol kwenye mahojiano na The Playlist ya Times FM . 

Video ya wimbo Why ilitoka September 13, 2018 na hadi sasa imefikisha views 899,517 kwenye mtandao wa YouTube. 
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad