Zijue sababu za Kings Music kuachia nyimbo mfululizo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii wa muziki Bongo, Alikiba amefunguka sababu za Kings Music kuachia nyimbo mfululizo. 

"Kutoa kwetu nyimbo mfululizo sisi kama Kings Music ni dalili kuwa hii game hatuwezi kuiachia kazi ni nyingi," amesema Alikiba akiongea na Planet Bongo ya East Africa Radio. 

"Wategemee vitu vizuri yaani mambo ni 'bampa to bampa' mwakani kila mmoja anatoa wimbo wake na video zote tayari." 

Hata hivyo Alikiba ameachia video ya wimbo wake mpya wa 'Kidogo', pia hapo jana msanii wake wa Cheed aliachia wimbo mpya uitwao Masozy.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad