12/01/2018

MAAJABU! Huyu Ndo Ng'ombe Mkubwa Kuwahi Kutokea


NAFAHAMU umewahi kuona ng’ombe wengi lakini wengi wetu hatujawahi kumuona ng’ombe mkubwa duniani na hata kama tumemuona basi naamini tutakuwa hatujui mambo mengi yanayomhusu  mnyama huyo.

Ng’ombe huyo anapatikana Magharibi mwa Autralia ana mkubwa zaidi duniani ana urefu wa mita 1.95 na uzito wa zaidi ya tani 1.4 (Kg 1400) ambapo amepewa Jina la Knickers. Unaambiwa ng’ombe huyo anamkaribia urefu mchezaji Basket Ball wa NBA, Michael Jordan, mwenye urefu wa sentimeta 198 (mita 1.98).

Kila siku anakula paundi 100 (Kg 45.359) za nyasi, paundi 15 (Kg 6.80) za nafaka, galoni 100 (Lita 500) za maji na kutoa pauni 150 (Kg 68.04) za kinyesi.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger