Natasha ni Mwanamke Pekee Anayejali, Ana Sifa za Mwanamke wa Kuoa – Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Natasha ni mwanamke pekee anayejali, ana sifa za mwanamke wa kuoa – Diamond
Baada ya kutoka Uganda, kwa sasa Diamond ameweka majeshi kwa mrembo huyu wa Kenya, ambaye ni mtangazaji wa Kituo cha Luninga cha NRG, aitwaye Natasha.


Diamond inaelezwa kuwa amepagawa na penzi la Tanasha Donna kwa sasa anawaza ndoa tu.

Wiki iliyopita Diamond alipiga shoo moja matata mjini Thika na Tanasha alikuwepo na hapo akatambulishwa rasmi kwa mashabiki kwamba, ndiye mpango mzima kwa sasa.

Pia, Chibu Dangote aliweka bayana kwamba, miongoni mwa wasichana aliowahi kuwa nao amemweleza zaidi Tanasha hivyo, anataka kufuta rekodi zote za nyuma na kutulia na mrembo huyo.

“Tanasha ndiye mwanamke pekee aliyeonesha kujali na uzito juu ya jambo hilo hivyo rasmi natangaza kumuoa huyu. Ana sifa zote za mwanamke wa kuoa, lakini unajua sisi wanaume wengi huwa tunaangalia sura, umbo na vingine vya mwilini kisha ndiyo inafuata tabia. Lakini nimejiridhisha kwamba mbali na umbo na mvuto wa kipekee pia ni mwanamke mwenye tabia nzuri,” Diamond alikiambia chombo kimoja cha habari nchini Kenya alikokuwa wiki iliyopita kwaajili ya show.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Take more time to know her

    ReplyDelete
  2. Honera Tanasha, Harusi Trehe30 Dec na Fuungati 31 Dec.
    Mwaka mpya 01.01.2019 unaingia Tandale Rasmi.

    ReplyDelete
  3. Hongera Tanasha, Harusi Tarehe30 Dec na Fungati 31 Dec.
    Mwaka mpya 01.01.2019 unaingia Tandale Rasmi.

    Dimondi.. Est Aflika imepanukaifatavyo.
    Tanzania
    Uganda
    Kenya
    sauzi Sudani
    Rwanda
    Urundi

    Kote ni kwetu.... Au vipi ?

    ReplyDelete

Top Post Ad