Sister P Abadili Jina, Achukua kwa Flaviana Matata

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii wa kike aliyejipatia umaarufu kupitia mtindo wa kuchana Sister P, anasema amebadilisha jina lake kwa sasa na anatambulika kama P Matata.



Sister P ameiambia eNewz sababu ya kubadilisha jina hilo ni kutokana na watu wanavyomuita kuwa ni mtu mwenye Matata pamoja na uwezo mkubwa wa kufanya vitu tofauti kama kuimba.

 'Mimi nilikuwa napita mtaani nikasikia shabiki ananiita oyaa sister P mbona kimya fanya uachie ngoma si unajua wewe ni mtu poa sana yaani hauna matata kabisa basi waliokuwa pembeni kuanzia siku hiyo wakaanza kuniita P Matata na mimi sikuona tabu nikaona freshi tu acha liwe jina langu" amesema mkali huyo.

Hata hivyo Sister P anasema hajui kama Matata jina lao la ukoo 'Grace au Flaviana' lakini yeye kwa upande wake analitumia kama a.k.a tu kutokana na mambo yake anayoyafanya na jinsi anavyoishi na watu wake mtaani mashabiki zake kwa ujumla.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad