Vanessa Ponce De Leon ashinda Miss World 2018, Awashida warembo 118

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Miss Mexico, Vanessa Ponce De Leon amewashinda warembo 118 kutoka nchi mbalimbali duniani na kuvikwa taji la Miss World 2018 rasmi katika shindano lililohitimishwa leo December 8,2018 Sanya nchini China. 

Huku Miss Uganda Quiin Abenakyo amefanikiwa kuingia katika Top 5 bora kwenye mashindano hayo akiambatana na mrembo kutoka Belarus ambaye amekuwa Miss World Europe 2018, mrembo kutoka Panama amekuwa Miss World Americas 2018, mrembo kutoka Thailand ameshinda taji la Miss World Asia & Oceania na mrembo kutoka Jamaica amekuwa Miss World Caribbean 2018. 

Vanessa Ponce De Leon amekabidhiwa taji hilo kutoka Manushi Chhillar kutoka India aliyeibuka mshindi wa Miss World mwaka 2017. 
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad