Wambura Arudi Kivingine TFF Aanza Kazi Kibabe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wambura Arudi Kivingine TFF Aanza Kazi Kibabe
Baada ya kushinda kesi yake ambayo ilichukua miezi kadhaa mahakamani, Richard Wambura, hatimaye ameanza kazi rasmi kama Makamu wa Rais katika Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

Wambura ambaye alifutwa wadhifa huo na Kamati ya Maadili ikielezwa alihusika katika ubadhirifu wa fedha za TFF, alishinda baada ya kwenda kudai haki yake mahakamani na mwisho wa siku akaonekana hana hatia.

Kwa mujibu wa Wakili wake msomi, Emmanuel Muga, amefunguka na kueleza kuwa tayari mteja wake ameshaanza majukumu kama Makamu baada ya mahakama kumpa ushindi wa keshi aliyofungua.

Muga amesema kwa sasa Wambura ndiye Makamu na hana kifungo chochote kwa mujibu wa mahakama hivyo ataendelea na majukumu yake kama ilivyokuwa mwanzo kabla hajafungiwa kujihusisha na masuala ya soka.

"Tayari ameshaanza kazi, mahakama ilishamaliza kila kitu na hivi sasa ndiye Makamu kama ilivyokuwa mwanzo" alisema Muga.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad