Wema Sepetu Anahitaji Kufanya Masaji ili Mwili Wake Ukae Vizuri- Daktari

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wema  Sepetu Anahitaji Kufanya Masaji ili Mwili Wake  Ukae Vizuri- Daktari
DAKTARI ambaye ni mtaalam wa kuwa­fanyia watu masaji za mwili na viungo, Hap­piness Mtuya amesema kuwa staa wa filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu anahitaji masaji ili mwili ukae vizuri baada ya kujipunguza.  Happiness ambaye anamiliki kliniki yake ya Happiness Masaji aliliambia Ijumaa kuwa, anatoa ofa ya mwaka ya kumfanyia masaji staa huyo bila malipo ili kuifanya mishipa yake ya damu ifanye kazi vizuri.

“Wema anahitaji masaji ili kuurudisha mwili wake sawa hivyo nampa ofa hiyo mwaka mzima aje tu kwenye kliniki yangu pale Lamata Hoteli, Ilala (Dar)” Daktari huyo aliongeza kuwa mastaa wengine aliowachagua kuwafanyia huduma hiyo ni Kajala Masanja na Aunt Ezekiel ambao wanaweza kuwasiliana naye kwa namba 0715 343161.


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad