Ebitoke "Itabaki Kuwa Siri YANGU Kwanini Nilitoka TIMAMU..Mkijua Hakika Mtanionea Huruma"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mchekeshaji Ebitoke amejikuta kwenye wakati mgumu mara baada ya kupokea lawama nyingi kutoka kwa mashabiki wake kufuatia hatua yake ya kujiondoa kwenye kundi la Timamu.

Licha ya kuandamwa huko, Ebitoke amewaeleza kamwe hatoweza kuwaambia sababu iliyopelekea kujitoa kwenye kundi la Timamu.

"Mashabiki wangu mnataka niwafanyie nini ili mridhike maana mmekuwa na Maneno kibao. Mnataka kujua sababu iliyonitoa Timamu?," Ebitoke amehoji.

"Itabaki kuwa siri yangu tu na muhusika na sitamani mkaijuia maana mtanionea huruma. Punguzeni ukali wa maneno maana hakuna anayependa kuambiwa mabaya kila siku," ameeleza.

Ebitoke alijizolea umaarufu mkubwa ndani ya kundi la Timamu akiwa na wachekeshaji wengine kama Mkaliwenu, Bwana Mjeshi, Mamaa Ashura, kwa sasa Ebitoke ameondoka kwenye kundi hilo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad