Mchungaji Amani Lyimo wa KKKT Amuomba Rais Magufuli Aawache Watu Wazungumze Kwa Uhuru

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mchungaji Amani Lyimo wa KKKT Amuomba Rais Magufuli Aawache Watu Wazungumze Kwa Uhuru
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Amani Lyimo amemuomba Rais wa Tanzania, John Magufuli kuwaachia uhuru wananchi wazungumzie inapowezekana kwa sababu hiyo ndiyo demokrasia.

Mchungaji Lyimo amesema hayo leo Jumatano Januari 23, 2019 Ikulu jijini Dar es Salaam katika kikao kati ya Rais Magufuli na viongozi mbalimbali wa madhehebu ya dini.

“Rais tuliyekuwa tunamuomba ni wewe, nimeanza kukuombea tangu ukiwa Waziri wa Ujenzi na leo umekuwa Rais bado nakuombea na tunawaza 2025 baada yako itakuwaje, maana tunahitaji Kiongozi kama wewe.

“Mheshimiwa Rais Magufuli, suala la Demokrasia ni muhimu, watu wana hofu hata kama huambiwi na watendaji wako, kama kazi baba unapiga kweli wewe waachie wazungumze maana Watanzania hawatachagua maneno bali watachagua kazi, wape uhuru waseme."  – Amesema Mchungaji Amani Lyimo.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad