Msanii wa Ben Pol Wyse Adai EBITOKE Anamapungufu ya AKILI...Kisa Ben Pol Kulelewa na Mwanamke Kenya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii anayechipukia katika mziki wa RNB na Bongo fleva Wyse amesema Ebitoke atakuwa anaupungufu wa akili kama anasema Ben pol analelewa na mpenzi wake mpya wa Kenya .

Wyse ameiambia EATV kuwa kuna watu wanawazungumzia watu kwa kuwaona ona tu na watu hao heanda wana mapungufu ya akili.

"Mimi siamini katika hilo itakuwa aliteleza, watu wanaosema hivyo mimi naona ni mapunguani wanaupungufu wa akili, mtu humjui unamuona ona tu unaanza kumuongelea ongelea tu mi najua Ben anafanya show watu wanaona," alisema Wyse.
Ben Pol na Girl friend wake Mkenya anaedaiwa kugharamikia kila kitu

Hata hivyo kwasasa msanii huyo chipukizi anaishi na Ben Pol ambapo amewahi kumshirikisha wimbo wake unaoitwa 'Bado Kidogo'.


Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo ingia www.ajirayako.co.tz

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad