Diamond Platnumz 'Kila Ijumaa Mpenzi WANGU Tanasha Atakuwa Anatua Bongo KUJA Kuwakera Watu Kwenye Wasafi TV'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Msanii wa Muziki, Diamond Platnumz amesema kuwa mpenzi wake, Tanasha atakuwa na Programu Wasafi Tv.

Diamond amesema kuwa mpenzi wake huyo ambaye ni Mtangazaji ana vipindi kuanzia Jumatatu mpaka siku ya Alhamisi ambapo akimaliza vipindi hivyo Ijumaa anatua Bongo kuja kuwa kera watu.

"Atakuwa na Programu Wasafi TV," amesema Diamond Dizzim Online.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad