Dudu Baya ataja mastaa wawili Bongo anaoweza kuwaoa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii wa Muziki Bongo, Dudu Baya ameweka wazi mastaa wakike ambao anaweza kuwaoa. 

Dudu Baya amesema kuwa msichana anayeweza kumuoa na anampenda ni Gigy Money na Lady Jaydee. Japo kuwa ameeleza kuwa Gigy anatabia ambazo bado haweki kumfanya awe mke labda aziache. 

"Mwanamke ninayempenda ni Gigy Money, Gigy huwa nampenda ila tabia zake ambapo bado siwezi kumfanya kuwa mke yaani mpaka aache zile tabia, tulishazungumza ila hawezi kuacha zile tabia, Gigy mnaweza mkawa sehemu akaanza kucheza akiwa uchi kwahiyo kama mama watoto siwezi 

"Lakini tukija mabinti wengine wakike kwenye hustle anajiamini ni Lady Jaydee, kwasababu ni mwanamke mwenye akili timamu kwasababu mimi nampenda mwanamke mbishi kwasababu mimi ni Konki," aliongeza Dudu. 
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad