Makamanda Watatu Waliotumbuliwa na Lugola Wapangiwa Kazi ya Kufanya na IGP Sirro

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Makamanda Watatu Waliotumbuliwa na Lugola Wapangiwa Kazi ya Kufanya na IGP Sirro
Makamanda wa Polisi wa Mikoa ya Ilala, Temeke na Arusha ambao uteuzi wao ulitenguliwa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola kwa madai ya kushindwa kupambana na rushwa, wamehamishiwa Makao Makuu ya Polisi ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yao.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad