Tanasha Aanza Kuwa MSWAHILI...Awacharukia wanaomponda boyfriend wake (Diamond Platnumz )

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Tanasha ambaye ni mpenzi wa Diamond kwa sasa ameshindwa kujizuia na kuamua kuwatolea maneno machafu timu za wapenzi wa zamani wa msanii huyo.

Hata hivyo na yeye ameamua kupambana nao kama kawaida na ilivyokuwa  kwa wale waliopita kwa Diamond.

Tanasha jana alikuwa live katika ukurasa wake wa Instagram akisoma comment za mashabiki wake akiwa katika kipindi chake katika redio anayofanyia kazi ya Nairobi nchini Kenya.

Baada ya kuanza kusoma comment ndipo mashabiki wakaanza kumponda mpenzi wake huyo na yeye hakukaa kimya akasema "Dont talk shit about my Men."

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad