Ujumbe wa Tanasha kwa Diamond Platnumz Wakosha Wengi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Penzi la Tanasha na Diamond Platnumz linazidi kukua na kunawiri licha ya maneno kuwa mengi mtandaoni.

Wawili hao wanaonekana kutojali lolote kwa kutupilia mbali yale yanasema kuhusu mapenzi yao.
Bibie ndio anaonekana kakolea kabisa kwa muimbaji huyo kwa sasa.

Hilo linadhihirishwa na ujumbe alioandika leo kwenye ukurasa wake wa Instagram;

"Kujiamini ya kweli huwa haina chumba cha chuki, ni pindi unapofahamu kitu kizuri, hauna sababu ya kuchukia," ameeleza Nanasha.

Bado ni mapema kueleza iwapo ujumbe wa Bibie ni kwa wale wanaoponda mapenzi yao mtandaoni au laah. Tanasha alijizolea umaarufu mkubwa nchini awali pindi alipoonekana kwenye video ya Alikiba na Christian Bella.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad