VIDEO: Hivi ndivyo kamera za CCTV zilivyonasa washambulizi wakiingia katika hoteli ya DusitD2 Nairobi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Vyombo vya habari nchini Kenya vimetoa mkanda wa video kutoka kwenye moja ya kamera za CCTV ikionesha watu waliojihami kwa silaha wakiingia viunga vya hoteli ya DusitD2.


Kamera hizo zimenasa watu wanne wanaoaminika kuwa ni wanamgambo wa al-Shabaab wakiingia kwenye eneo la kuegesha magari ambalo ndio lango kuu la viunga hivyo.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad