VIDEO: Juliana Shonza “Acheni Kiki za Kijinga, Siwezi Kuacha Kazi Kisa Vitisho”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza amesema vitisho vinavyotolewa na baadhi ya Wasanii dhidi ya watendaji wanaowachukulia hatua za kisheria haviwezi kuwafanya watendaji hao waache kusimamia sheria za nchi.

Ameyasema hayo Mkoani Mbeya alipokuwa   kuhusu usimamizi wa maadili ya Wasanii ambapo alisema yeye katika utendaji wake hajakutana na vitisho vya aina yoyote.

Amewataka wasanii kufuata Sheria za Nchi wanapofanya sanaa zao pamoja na kufuata misingi iliyowekwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ili kuepuka kuingia kwenye migogoro na Serikali.

VIDEO:


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad