VIDEO:Lipumba Afunguka Watu 60 Waliouawa, Bendera CUF Kupepea Nusu Mlingoti

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Chama cha Wananchi (CUF) kesho Januari 27, mwaka 2019 kitafikia miaka 18 ya kumbukumbu ya wahanga wa kadhia na mauaji yaliyotokea Januari 26 na 27 mwaka 2001 hasa katika kisiwa cha Pemba ambapo kesho bendera ya chama hicho zitapepea nusu mlingoti nchi nzima na shughuli za maombi kwa marehemu wote na kitaifa yatafanyika Mkoani Dar es salaam katika kata Mnyamani.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad