Wambura Yamkuta Mazito, Kamati Ya Nidhamu Fifa Yamfungia Maisha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wambura Yamkuta Mazito, Kamati Ya Nidhamu Fifa, Yamfungia  Maisha
Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), limetangaza kumfungia Michael Wambura maisha.Kifungo hicho kinamfanya Wambura kutojihusisha na soka maisha.


Michael Wambura alichaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka nchini TFF katika uchaguzi mkuu wa mwezi Julai mwaka 2017, kabla ya kufungiwa na shirikisho hilo mwaka uliopita kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha.

Alikata rufaa Mahakamani, ambapo Mahakama iliamuru kurejeshwa katika nafasi yake mwishoni mwa mwaka uliopita lakini TFF ilikata rufaa FIFA.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad