Zari Afunguka Kuhusu Kuwa na Mahusiano Mapya

Zari Afunguka Kuhusu Kuwa na Mahusiano  Mapya
Mrembo Zari Bosslaydy ameamua kujibu kuhusu kuanzisha mahusiano mpya na hata kuingia kwenye ndoa baaada ya kuachana na Diamond Platnumz.

Hii ni baada ya shabiki mmoja kumuuliza Zari kupitia mtandao wa Instagram iwapo ana mpango wa
kutafuta mwanaume wa kukaa naye kwa sasa.

"Mume wangu sio wa mitandao ya kijamii, ni mume wangu na sio wetu. Cant post him for nyaku nyaku to shaku shaku. Real MVPs are so low key," ameeleza Zari.

Utakumbuka mwaka jana februari ndipo Zari The Bosslady alitangaza kuachana na Diamond Platnumz kwa kile alichoeleza kuwa muimbaji huyo alikuwa akimvunjia utu wake na heshima kwa kuwa kwenye mahusiano na wanawake wengine.

HABARI HIZI ZINAPATIKA UDAKU SPECIAL APP BONYEZA HAPA UWE NAYO KWENYE SIMU YAKO

Loading...

Zari Afunguka Kuhusu Kuwa na Mahusiano Mapya Zari Afunguka Kuhusu Kuwa na Mahusiano  Mapya Reviewed by Udaku Special on January 12, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.