AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kiongozi huyo wa upinzani ambaye amekuwa mstari wa mbele katika kusimamia agenda za muungano wa vyama 10 vya upinzani kuanzia mwishoni mwa mwaka jana, alieleza kupitia mtandao wa Twitter, akionya wale walionuia kumdhuru.
Katika ukurasa wake wa Twitter, Zitto Kabwe ameandika: “Tunafahamu kuwa Operesheni Maalumu #Mzizima2 imepewa kibali kutekelezwa. Dhima ‘ Vita ya Mwisho kuleta Nidhamu kamili’ inataka kinachoitwa kumnyamazisha SAI( mie huyo). Wakajipange upya Tu. Mungu tu Ndio anaweza kuninyamazisha. SIOGOPI mwanadamu mwenzangu aslani” alisema katika ukurasa huo.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
To be honest with you, i don’t know what is taking them very long
ReplyDeleteLudi kwenu ukitaka kungangania kwetu sisi hatukutambui wala haupo KATIKA dhanna ya Raia mwema.
ReplyDeleteWe we NI mpotofu kibaraka WA Mabeberu.
Ukweli WA kujiha. I unaujua mwenyewe.
Umeyatafuta na Utayapata