Breaking News: Rosa Ree Atangaza Kujiondoa Kwenye Kampuni ya South Afrika Inayosimamia Mziki Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kutoka katika ukurasa wa Instagram Rosa Ree Amefunguka Kuhusu kutofanya kazi na Kampuni ya Dimo Production kutoka South Afrika aliyokuwa akifanya nayo kazi;


UJUMBE!!!!!!!
ROSA REE NI MSANIIII ANAYEJITEGEMEA!
Kwa sababu zisizozuilika zilizo sababishwa na upande wa kampuni, kuanzia October mwaka jana sijawepo chini ya label ya DIMO PRODUCTION..... Najitegemea katika kazi zangu Mimi pamoja na team yangu ya siku zote akiwemo @jkiandika na @biggybangbang ...... Kando na hayo napenda kushukuru kwa nafasi niliyoipata ya kufanya kazi na kampuni hiyo na naamini tumefanya mengi makubwa na yenye manufaa kwetu sote!
Katika kujitegemea na kutegemea support nayoipata kwa wapenzi wa mziki wangu nimeweza kuachia “BANJUKA” na sasa “ASANTE BABA” ambazo zimefanya na zinazidi kufanya vizuri SANA!!!! Project nyingiiiii zingine zinakuja!!!! 🥂🎉
.
I AM NOW AN INDEPENDENT ARTIST!!! Due to unavoidable reasons (caused by the company) I haven’t been working with DIMO PRODUCTIONS since October 2018. I’m working with my all time team consisting of @jkiandika and @biggybangbang .... Regardless I’m grateful for the opportunity I got to work with the company and I believe we did major things with a mutual benefit and an impact!!!! As an independent artist relying on the love and support I get from my fans I was able to release “BANJUKA” and now “ASANTE BABA” which have done and are still doing OUTSTANDINGLY well!!! Here is to many moreeee!!!
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad