Diamond Amtumia Ujumbe Mtamu na Zawadi ya Wapendanao Mpenzi Wake Mpya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


MSANII Naseeb Abdul Juma maarufu kama Diamond Platnumz ameisherehekea na kuimaliza Siku ya Wapendanao (Valentine’s Day) vizuri  kwa kutuma zawadi na kuandika ujumbe wa mahaba kwa mpenzi wake Tanasha Don.


Diamond ameweka picha katika akaunti yake ya Instagram iliyoambatana na ujumbe unaosomeka, “Kwasababu wewe ni mpendwa wangu milele….natumaini utapenda zawadi yangu ndogo ya kushangaza…japo upo mbali lakini moyo wangu upo nawe kwaajili yako”.


Kwa upande wa mpenzi wake huyo toka Kenya Tanasha Don pia alishukuru zawadi aliyotumiwa na mpenzi wake huyo ambayo ilikuwa kwenye picha yenye maneno, ‘I love You Tanasha’ huku yakiwemo maua na box za zawadi.

 “Asante mpenzi wangu, mimi ni mwanamke wa bahati sana kuwa na wewe katika hii dunia.  Maneno hayawezi kuonyesha jinsi gani ninavyojisikia kwa wakati huu”.   Aliandika Tanasha kwenye akaunti yake ya Instagram.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad