Mengi Amesema Yuko Tayari Kushiriki Chochote Katika Matibabu ya Ruge :-J.Mhavile

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkurugenzi wa ITV na Radio One, Joyce Mhavile amefunguka na kusema uwa pamoja na kwamba kumekuwa na ushindani wa kibiashara katika media mbalimbali lakini hii haifanya kushidwa kusaidiana katika matatizo mbalimbali.

Akiongea asubui ya leo atia kipindi cha 360 na clouds media, Joyce anasema kuwa familia yake ya ITV wako tayari kufanya chochote kile ili kuhakikisha kuwa wanapata pesa kwa ajili ya kuhakikisha matibabu ya mkurugenzi wa Clouds media yanapatikana.

Joyce anasema uwa pamoja na yote, kumeundwa kamati ya kusaidia kuchangia pesa hiyo na akiwa kama mmoja ya watu wa media amekuwa msatri wa mbele katika kusaidia kamati hiyo.

Hata hivyo Joyce anasema kuwa , alipotoa taarifa kwa mmiliki wa Vituo vya Itv na radio one mh raginald mengi alisema kuwa yuko tayari kufanya lolote pale atakapoambiwa kufanya ambacho amati itakuwa imeamua ili kufanikisha zoezi hilo.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mENGI..KATIKA HILI WALA ISIWE KIKI.
    UNAJITOLEA KIMYA KIMYA NA UNAFANYA KWELI.
    MTU MGONJWA.. UUNGWANA NI KUTO BILA MITANDAO KUJUA.
    NI WEWE NA MUNGU SHAHIDI WA MOYO WAKO.

    TOA NA MUNGU ANAKUONA NA SIYO MITANDAONI. HATA JPJM ALIKUSIFU KWA MOYO HUO... SASA FANYA KWELI USITUANGUSHE NA MITANDAONI HAPANA.

    ReplyDelete

Top Post Ad