Msanii wa Muziki, Bill Nas amefunguka kuhusu ujio wa kolabo yake na AliKiba.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Bill Nass akiongea katika kipindi cha The PlayList cha Times FM amesema kuwa kolabo na msanii huyo tayari wameshafanya.

"Kolabo na Alikiba ipo na tayari tumeshafanya bado kutoka kwasababu ya taratibu zao kwasababu Ali yuko chini ya Sony hata kutoa ngoma pia kuna utaratibu wake, nasubiri tu utaratibu wao kama itatoka mwakani au mwaka huu," alisema Bil Nass.

Billnass kwasasa anatamba na kibao cha wimbo wake mpya unaoitwa 'Funga Geti' aliomshirikisha Roma ambao mpaka sasa kwenye mtandao wa YouTube una 366,181 views
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad