Tamko la TRA kwa wanaoweka matangazo kwenye magari

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imeeleza juu ya uwepo wa ulazima wa ulipaji kodi kwa watumiaji wa vyombo va usafiri nchini ambao wamekuwa wakiweka matangazo kwenye magari ambapo wamekuwa wakitembea maeneo mbalimbali ya nchi.


Akizungumza Jijini Dar es salaam Mkurugenzi Mkurugenzi wa Elimu kwa mlipakodi wa TRA,  Richard Kayombo amesema “kuna mabango ya kawaida yamesimikwa, mabango yaliyo juu ya majengo na mabango ya kwenye magari ambayo gari kila likizunguka linakuwa na bango hilo, mfano kampuni za vinywaji, biashara ya bidhaa mbalimbali,”.

Aidha kuhusiana na kodi hiyo Kayombo amesema kuwa “sio kodi mpya na si kitu cha ajabu, magari haya yanastahili kulipiwa, kwa mfano bango lipo katika gari linazunguka nchi nzima linaonwa na watu wengi zaidi kuliko bango lililowekwa sehemu moja.”

Hivi karibuni kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kulianza kusambaa barua ikimnukuu meneja wa kodi wa mamlaka ya mapato TRA ikimtamka moja ya wafanyabiashara wilayani humo kulipa kodi ya tangazo kupitia moja ya magari yake.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad