Van Vicker Atoka Kwa Wema Sepetu Ahamia Kwa Zamaradi, Millioni 200 Zakamilisha Mchongo Mzima

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii na mtangazaji anaeitwa zamaradi mketema ameamua rasmi kuirudisha heshima ya sanaa ya filamu Tanzania kwa kuitangaza filamu mpya ambayo inaitwa "COP's Enemy" ambayo imehusisha wasanii kutoka Tanzania akiwemo Wema sepetu, aunty ezekiel na wengine kutoka nigeria, Australia na wengine wengi, Ambapo amefunguka kwa kusema kuwa gharama za filamu hiyo ni takribani million 200 na imetengenezwa kwa miaka miwili


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad