Wewe Ulinibadilisha na Kunifanya Niache Kupiga Picha za Nusu Uchi -Maneno ya Gigy kwa Ruge

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Moja ya wasanii ambao kwa sasa wamepata majina makubwa bongo kutokana na kazi zao, Gigy money amefunguka na kutoa maneno yake ya huzuni hasa baada ya kusikia kifo cha mkurugenzi wa Clouds media groud bwana Ruge Mutahaba.

Gigy money ameandika ujumbe mrefu na wenye kuhuzunisha akijitahidi kuonyesha mchango wa mkurugenzi huyo katika maisha yake huku akimwita kuwa yeye ndio mzazi wake baada ya mama yake aliemlea.

Gigy money anasema kuwa Ruge ndie aliemfungulia maisha kwa kumpa nafasi hata katika kituo chake kama mfanya kazi hapo huku akijitahidi kil siku kumyoosha katika njia mbaya alizokuwa akipita.

Gigy anasema kuwa hata ile tabia yake ya kupiga picha za uchi , ni Ruge ndie alimfanya kuachana na swala hilo kutokana na kuwa kila mara alikuwa akimjali na kuongea nae ili kujaribu kumbadilisha.

View this post on Instagram

"Kila mtu ana Aina yake yakuguswa ila Baba Ruge we uneniuma Sana Nilikuwa Gigy ambae si thaminiki ila wewe ukafanya watanzania wanielewe kwaku mwambia Zamaradi aongee Na mm Kwa Kipindii chake Cha Take one  baada ya hapo ukaguswa Na historia Yangu nakunipa kazi kama mtangazaji nakunipa heshima sehemu mbali mbali kunifanya ni fike kwenye majukwaaa makubwa dah natamani ata urudi uniambie kile ulichokua Unaniambiaa nikiache nitakua mkubwa Duniani Ruge baba we nizaidi ya mlezi Kwangu uliweza kunisaidia mm Na familia yangu yani ww nizaidi ya wazazi Wangu wakunilea nitalieshimu ilo ata jeuri Yangu ya sasa ni Wewe Ndio ulinipa nani ataweza kufanya uliokua unayafanya hubagui huchagui Kwa Duniaa mm nilikua chizi lakini Kwako uliniitamwelevu wakipekeee Na uliweza kunibadilisha kuacha kupiga picha za Nusu utupu ni Wewe sasa Mbona umetuacha Wewe sitokusahau Na Mengi Million nimeijua kwako ……. ngap Hes Mengi kutokana Na Kuguswa Kwa umauti Wako lakini NAKUPENDA SANA SANA SANA boss Ruge your Hero  Mungu Ailaze Rohoo Yako mahali pema peponi  Kazi ya Mungu Haina makosa " Gigy
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad