Kama Tuliwafunga Magoli ya Watoto Tutashindwa ya Mpira?- Aicho Kisema Diamond Baada ya Ushindi wa Stars

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kama uliwafunga Magoli ya Watoto Tutashindwa ya Mpira?- Aicho Kisema Diamond Baada ya Ushindi wa Stars
Msanii wa Muziki, Diamond Platnumz baada ya Tanzania jana kufuzu michuano ya AFCON kwa kuwatandika Timu ya Uganda 3 bila, Msanii huyo anasema "Kama Tuliwafunga Magoli ya watoto tutashindwa ya Mpira?.

Diamond amewataka watu kuwataja watu wa Uganda wote na wawaambie kuwa Simba kasema 'TETEMA.

"Kama Tuliwafunga Magoli ya watoto tutashindwa ya Mpira....Embu Watagi Waganda wote hapa Chini waambie "Simba Kasema #TETEMA," Aliandika Diamond.

Hata hivyo mashabiki hawakukaa kimya wengine walimtaja Zari ambaye ni mzazi mwenzie huku wengine wakimshambulia vikali msanii huyo.

Tazama comment za mashabiki hapa chini;

aduindugu
Mjinga mkubwa....pumbavu sana limbukeni na mshamba wewe..fyuuuuuuu...😏

dee.tz
Me nilisema tunacheza na wake zetu

lightness169
@ukurasa_huru mm na nani ndugu?

_badmantz
acha uswahili boya wew

bobcollymores
@dangoteplatnmuz embu ni town


learned_sally
@katantasimwanza wewe nawe kadhalilishwa mtoto wapi?

adrian__tz
@african_dutches no matter how many goals with last game you Ugandans dont know even how to pass ball you had he worst game ever players were falling every now and then

_badmantz
mbona yule dem ye akuzungumziii ila wew sasa pambana na hali yako

alividzaashlee
One day life will humble you, you will take back your words with shame, fyi UG already qualified. Mixeew

deeboy_collections
Chibuu

catherinebernadchalamila
KWA KIFUPI HUNA AKILI WALA HUJITAMBUI NDIO MANA UNAONGEA UPUMBAVU , MWANAUME RIJALI HAWEZI FANANISHA WATOTO WAKE NA SOKA WEWE NI MJINGA DAIMA

carolmuenih
@zarithebosslady the black rose still winning👏

yusuphkazinyingi
Hahahahahhahahahahahhaha tumewafunga kote kote

kahindi255
haya zari njoo

musa34997
@ummyfahad zar mwenyewe maraya tu

aduindugu
@lightness169 Huyu Kijana Mjinga Aana Hakuelelwa ktk maadili mema na wazazi wake...jinga sana...limbukeni mkubwa

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad